Jambo Jambo
Quelle: Spotify
Jambo, Jambo bwana,
Habari gani,
Mzuri sana.
Wageni, Wakaribishwa,
Kenya yetu Hakuna Matata.
Kenya nchi nzuri,
Hakuna Matata.
Nchi ya maajabu
Hakuna Matata.
Nchi yenye amani,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata.
Watu wote,
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata.
Zeige deinen Freunden, dass dir Jambo Jambo von Safari Sound Band gefällt:
Kommentare