Wanangu Jihadhari Sana Songtext - Kwaya Kuu Kikosi cha Injili

Wanangu Jihadhari Sana - Kwaya Kuu Kikosi cha Injili

Wanangu jihadhari sana
Dunia hii mbaya
Wanangu jihadhari sana

Ni Mimi niliwachagua
Si ninyi mlitaka
Kwa hiyo nifuateni mimi

Waache wapenzi dunia
Hao ni wa dunia
Kwa hiyo nitetee mimi


Video: Wanangu Jihadhari Sana von Kwaya Kuu Kikosi cha Injili

Teilen

Zeige deinen Freunden, dass dir Wanangu Jihadhari Sana von Kwaya Kuu Kikosi cha Injili gefällt:

Kommentare