Twende Mbinguni Kanisa
Quelle: Spotify
Twende Mbinguni Kanisa [Church, Let Us Go to Heaven]
1. Twende mbinguni kanisa lake; [His Church, let us go to Heaven]
Twende mbinguni; sote tunaitwa. [Let us go to heaven; we are all called.]
(Chorus)
Njooni njooni, [Come all, come all,]
Mimi nawaita. [It is Me calling you all.]
2. Jitakaseni enyi kundi dogo; [Make yourself holy, ye little flock;]
Yapuuzeni yote ya dunia. [Ignore all things wordly.]
3. Yapuuzeni yote ya Shetani; [Ignore all Satan things;]
Furikeni maneno yake Bwana. [Be overflowing with Lord's words.]
4. Tuwahurumie watenda dhambi; [Let us pity those who commit sin;]
Na tuwe wakali juu ya dhambi zote. [But let us be strict against all sins.]
Twende Mbinguni Kanisa text and tune by Rev. Yemorini Mgallah.
© 2014 by Kikosi cha Injili Tanzania. All Rights Reserved.
Zeige deinen Freunden, dass dir Twende Mbinguni Kanisa von Kwaya Kuu Kikosi cha Injili gefällt:
Kommentare