Hao Waliochaguliwa Songtext - Kwaya Kuu Kikosi cha Injili

Hao Waliochaguliwa - Kwaya Kuu Kikosi cha Injili

Hao Waliochaguliwa - They Who Were Chosen

1. Hao waliochaguliwa [They who were chosen]
Wanamwimbia mwokozi wao [Are singing for their Savior]
Bila kusita. [Without hesitating.]

(Chorus)
Wanamwimbia mwokozi wao, [They are singing for their Savior]
Wamtukuza mwokozi Yesu; [They are glorifying Savior Jesus;]
Bwana upewe sifa. [Lord, Praises be given to You.]

2. Naye Mwokozi awabariki; [In turn the Savior blesses them]
Wanaposifu mwokozi wao [When they sing for their Savior]
Bila kusita. [Without hesitating.]

3. Wanyenyekevu wabarikiwa [Humble ones are blessed]
Wanaposifu mwokozi wao [When they sing for their Savior]
Bila kusita. [Without hesitating.]

4. Na nyimbo zao zaburudisha [And their songs are soothing]
Wanapoimba kwa uaminifu [When they sing faithfully]
Bila kusita. [Without hesitating.]

Text and tune by Rev. Yemorini Mgallah in 1970s to early 1980s.
© 2014 by Kikosi Cha Injili Tanzania.


Video: Hao Waliochaguliwa von Kwaya Kuu Kikosi cha Injili

Teilen

Zeige deinen Freunden, dass dir Hao Waliochaguliwa von Kwaya Kuu Kikosi cha Injili gefällt:

Kommentare