Kembo Songtext - Khadja Nin

Kembo - Khadja Nin

Unaniaca unaenda tena
Nabaki apa mimi peke yangu
Watoto, watoto wanaliya
Usiende...
Kembo, kembo, kembo...
Watoto wanaliya...wewe
"napashwa"
Wandugu wanaliya...
Ni wewe
"napashwa"
Ata mama yako analiya
"napashwa"
Mimi bibi yako naliya
Usiende na sorrow
Nitangoja...kembo
"usiende na sorrow
Tutangoja"
Usiende na sorrow
Tutangoja...kembo
Watoto wanaliya...hood !!!
"unapashwa"
Wandugu wanaliya...hood !!!
"unapashwa"
Ata mama yako analiya
"unapashwa"
Mimi bibi yako naliya
Usiende na sorrow
Nitangoja...
Kembo... kembo...kembo...


Video: Kembo von Khadja Nin

Teilen

Zeige deinen Freunden, dass dir Kembo von Khadja Nin gefällt:

Kommentare