Hapo Zamani Songtext - Elani

Hapo Zamani - Elani

[Verse 1: Wambizzy]
Rauka jamaa, kumekucha
Miaka kumi na sita, kidato cha kwanza
Pokea salam, siku mpya
Insyder za kwanza, zasifiwa boma
Kaipokea tetesi, mwaja shule ni wikendi
Barua uliyoituma imeshasoma na
Sijaweza kupumua, moyo wangu waridhika
Sijaweza kupumua

[Hook]
Hapo zamani nikajua ningekuoa
Hapo zamani ukiambiwa
Unapendwa, waamini
Ukipendwa, una imani

[Verse 2: Maureen]
Nilikuwaza sana michana kutwa
Wewe sukuma mimi ugali wishwa
Na tulipendana kinyama
Nikaipokea tetesi, una mwingine
Akula mishikaki, aishiye kifahari
Mi sikuweza kupumua, moyo wangu kavunjika
Sikuweza kupumua

[Hook]

[Verse 3: Brian Chweya]
Sikujua, miaka kumi na sita
Siyo miaka, ya kuelewa dunia
Sikujua, miaka kumi na sita
Siyo miaka, ya kuelewa mahaba
Woyoooo,
Woyoooo,

[Hook]


Video: Hapo Zamani von Elani

Teilen

Zeige deinen Freunden, dass dir Hapo Zamani von Elani gefällt:

Kommentare